LYRIC

Niko ndani vita iyi baba
Niko ndani vita iyi baba ehhhh
Yapiganisha mwili wangu wote
Yapiganisha maisha yangu yote
Njiya tofauti napiganishua
Njiya tofauti napiganishua
Tabiya mbaya iko ndani yangu
Naomba bwana unishindiye
Wewe wa majeshi

Wamajeshi ninaomba unishindiye
Wamajeshi mungu nione mkono wako
Nipiganiye vita baba maishani mwangu
Vita iyi niyako ushindi niwetu

Najivuna siku zote baba naishi
Kama vile mungu hayuko(mungu hayuko)
Kama sijatunkana baba sijasikiya vizuri
Kinua change kina furai na matusi
Mecho yangu ayapendi kuona mtu
Kwendeleya mbele
Wamajeshi mungu unipiganye vita

Wamajeshi ninaomba unishindiye
Wamajeshi mungu nione mkono wako
Nipiganiye vita baba maishani mwangu
Vita iyi niyako ushindi niwetu

Eh uwongo mimi siku zote eh(eyo lele)
Majivuno ni mimi matusi ni mimi
Chuki ni mimi
Na kiburi nitabiya langu
Ninatenda vitu vibaya sana mungu umeona
Yote napenda ku njiya ya zambi siyawezi hii Maisha
Tena mimi nikazi ya mikono yako
Usiniache okowa nafsi yangu bwana
Wamajeshi

Wamajeshi ninaomba unishindiye
Wamajeshi mungu nione mkono wako
Nipiganiye vita baba maishani mwangu
Vita iyi niyako ushindi niwetu

Added by

Admin

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT