LYRIC
Intro [Instrumentals ]
Chorus]
Moyoni mwangu, nina amani,
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali,
You tabasamu langu. X2
Naanza kwa kuomba msamaha
Nilijaribu na sikuweza
Kuyasarifu maneno matamu X2
Kuna makosa yalifanyika
Ukaondoka kwangu vigafla
Sikuamini kwamba waenda
Mpenzi we X2 [Chorus:] Moyoni mwangu, nina amani,
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali,
You tabasamu langu. X2
[Verse 2:] Kwako nimeonja asali
Na sitaki tena sukari
Wewe ndiwe mpenzi wangu
Eeeeeeeeeee [Instrumentals]
Kwa mwengine sitokwenda
Mola wewe kanitunuku
Itakuaje wewe karibu
Mpenzi ….
Ninayopata kwako
Mpenzi wangu, usiende mbali,
You tabasamu langu. X2
No comments yet