LYRIC

[Verse] Nilidhani nitaangamia tabu zilinizidi
Katika masononeko nikamlilia Bwana
Kwani ngome tumaini ni mwamba wa wokovu

[Bridge] Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Bridge] Nitamuinua
Nitamsifu
Ndiye mwokozi
Ni Alpha na Omega

[Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah
Transpose to Key of F

[Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

[Chorus] Jina lako ni Jehovah, Jehovah, Jehovah
Wewe ndiwe Bwana Bwana Bwana
Tunakupa mamlaka mamlaka
Mamlaka Milele

[Outro] Ndiye Mwanzo na Mwisho
Mungu wa Israeli
Ndiye Mwanzo na Mwisho
Jina lake Jehovah

Added by

Admin

SHARE

Your email address will not be published. Required fields are marked *

ADVERTISEMENT